Hadithi

A wetland under recovery in Maziba Kabale district scaled
Hadithi Zote

Vyama vya Ushirika vya Mazingira vyaanzisha njia mbadala za kujikimu katika maeneo ya hifadhi.

Na Christopher Bendana Laban Zaribugire, kwa ufahari, alionyesha sehemu ya ardhioevu ya mfumo ikolojia wa ardhioevu ya Igona katika wilaya ya Kabale iliyorejeshwa. “Tazama ule ujiuji katika kila upande unaofunga mto,” alisema akionyesha kidole chake katika bonde ambapo maji ya mabwawa yalikuwa yakitoka katika pande zote za mto huko Nyamigamba, wilaya ya Kabale. “Unaona hiyo […]
Na:
nzoia feature image
Hadithi Zote

Kutoka kuwa mto hadi kuwa mkondo wa maji: Kutanabaisha gharama ya uharibifu wa bonde la Mto Nzoia

“Wakati nakua, kulikuwa na samaki wengi, lakini hakuna theluji, na vyura ni wachache pia,” Ronald Wanyoyi mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Kijiji cha Lukhoba katika Bonde la Mto Nzoia, anasimulia, akiongeza kuwa mtu angeweza kuwa na bahati sana kupata samaki wowote isipokuwa mvua inaponyesha husababisha samaki wengi kukimbilia chini ya mto. Mto Nzoia […]
Na:
oxpecker bird 1
Hadithi Zote

Vidhibiti asili vya wadudu waharibifu wa wanyama vilivyo hatarini kutoweka: Kole (Oxpeckers) watoweka katika ukanda wenye ng’ombe, Kusini Magharibi mwa Uganda.

Na Kajumba Godfrey John Kayangire ni mfugaji wa ng’ombe huko Rutooma, wilaya ya Kashari Mbarara, Kusini Magharibi mwa Uganda. Kama wafugaji wengine wa ng’ombe, yeye hutazama tu jinsi mifugo yake inavyoendelea kuathiriwa na kupe, “dawa za mifugo sokoni siku hizi ni bandia, haziwezi kufanya chochote katika vimelea vinavyonyonya damu kwa wanyama”. Akiwa na umri wa […]
Na:
Feature image lake victoria
Hadithi Zote

Ziwa katika kitanda chake cha mauti; Nani Nani Anaweza kuliokoa Ziwa Victoria?

By Sarah Biryomumaisho, Nabaasa Innocent, Sarah Natoolo and Nalweyiso Barbra Mamilioni ya Waganda hasa mjini Kampala na maeneo ya jirani wanaendelea kutumia maji yasiyochujwa kutoka Ziwa Victoria, licha ya kuwepo kwa Bakteria watokanao na kinyesi ambao wanayafanya maji hayo yasiwe salama kwaajili ya matumizi. Pia likifahamika kama Nalubaale, Ziwa Victoria ni ziwa kubwa zaidi la […]
Na:
Reformed poachers livelihood FEATURE IMAGE
Hadithi Zote

Vikundi vya wawindaji haramu waliobadilika yanazuia migogoro kati ya binadamu na wanyamapori kwa kuboresha maisha

By Timothy Murungi Miliya Tumuhirwe (42), Fillimon Thembo (53) na Gilait Bwambale Alijja, aliyekuwa na umri wa miaka 18 tu wakati huo, waliuawa na tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Queen Elizabeth wilayani Kasese, kusini magharibi mwa Uganda, kati ya mwaka 2021 na 2022. Walikwenda hifadhini kutafuta kuni. Constance Kabugho (36), ambaye alikuwa na ujauzito […]
Na:
lake victoria
Hadithi Zote

Sehemu ya Ziwa Viktoria inayofurika

Migogoro ya binadamu na wanyamapori inaongezeka katika mwambao wa Ziwa Victoria nchini Kenya, huku sampuli za maji zikiwa chini ya viwango vya maji ya kunywa Harold Odhiambo na Robert Amalemba Wanaume wawili wakipakia magunia ya mkaa kwenye Lori lililo umbali wa mita chache karibu na mdomo wa Mto Wigwa uliochafuliwa vibaya, kando ya ziwa Kisumu. […]
Na: