Mabadiliko ya hali ya hewa

Daniel
Hadithi Zote
Kenya

Huku majanga ya ugonjwa na ukosefu wa maji yakizidi nchini Kenya, WaterCredit, umewezesha jamii za mapato ya chini kujipatia maji huku ikidumisha hali ya usafi kupitia mikopo midogo.

Na George Achia Rose Okeyo mwenye umri wa miaka 38, alikuwa tayari anatatizika kupata maji ya kutosha kwa matumizi yake ya nyumbani katika kipindi cha kutotoka nje kufuatia janga la COVID-19, wakati ruzuku ya maji ilipobomolewa na maporomoko wa ardhi karibu na nyumbani kwake katika kitongoji duni cha Kawangware, mjini Nairobi. Mvua nyingi iliyonyesha msimu […]
Na:
Soma zaidi...
Trees planted by the team within the Bubulo Town Council Copy
Uncategorized @sw Hadithi Zote
Uganda

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake ya serikali ya mtaa ili apambane na tabia nchi wilayani Manafwa, walisikitika sana. “Hawakuelewa maana yake ni nini. Hawakudhania kwamba hii ingeniwezesha kujimudu na kumudu jamii yangu kifedha,” Mandu alisema. “Haikuwa na bado sio kitu […]
Na:
Soma zaidi...
Julia Asekenya of Tajar Kolir in Bukedea district collecting water from the nearby stream which is their main source
Hadithi Zote
Uganda

Watoto Walionusurika Maporomoko ya Udongo Waongoza Jitihada za Kupanda Miti katika Kambi Mpya ya Bunambutye Waishiyo iliyo na Upungufu wa Maji

Na Javier Silas Omagor Mamia ya watu wanapambana na upungufu mkubwa wa maji safi na salama katika vijiji vya Bunambutye ambavyo ni makazi mapya ya wahanga wa maporomoko ya maji, huku kwa upande mwingine wakipambana na janga la Corona. Kaya takribani 140 zilizoathirika katika Awamu ya II zilihamishiwa kutoka Bududa na kupelekwa makazi ya Bunambutye […]
Na:
Soma zaidi...
Jenifer Cana P6 Pupil of Ariwa Primary school in Ariwa village Rhinocamp Refugee settlement cooking beans using firewood She sales food ration ot By Firewood Photo By Robert Ariaka 1
Hadithi Zote
Uganda

Wakimbizi Wageuza Kinyesi Cha Binadamu Kuwa Kuni Mbadala Ya Kupikia Kwa Madhumuni Ya Kuhifadhi Miti Na Kukabiliana Na Tabia Nchi

Na Robert Ariaka Kundi la wanawake wakimbizi wa Sudan Kusini wilayani Arua, wanatengeneza matofali kutokana na kinyesi cha binadamu ili kutumika badala ya kuni na makaa. “Matofali yatokanayo na kinyesi cha binadamu hutumika kwa muda mrefu wa masaa manane, hivyo kurahisisha shughuli ya upishi ikilinganishwa na kuni za kawaida,” asimulia Roda Selwa, kijana ambaye ni […]
Na:
Soma zaidi...
IMG61110 Nyabarongo
Mabadiliko ya hali ya hewa
Rwanda

Vijana Nchini Rwanda Wachukuwa Usukani Katika Utunzi wa Tengamaji wa Nyabarongo

Na Aimable Twahirwa Ni masaa ya asubuhi Jumatatu moja lenye joto jingi huko Nyamagabe,  ambayo ni wilaya iliyo na milima mingi Kusini mwa Rwanda, ambako kundi la vijana limekusanyika kwa mkutano, ili kushiriki katika mafunzo muhimu ya kuzuia momonyoko wa udongo wa kila mara hadi mto jirani wa Nyabarongo. Mkakati huu ni mojawapo ya zoezi […]
Na:
Soma zaidi...
Climate Change
Mabadiliko ya hali ya hewa

[:en]IPCC report confirms the need to keep fossil fuels in the ground to achieve 1.5ºC, 350.org says

Our reporter October 09, 2018 One month after hundreds of thousands of people took to the streets to demand real climate action as part of the Rise for Climate Mobilisation, the world’s scientists have issued their clearest call for avoiding the worst impacts of a warming world. The Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC), UN-backed […]
Na:
Soma zaidi...