Hadithi Zote

elephants
Hadithi Zote

Kuwezesha waunda sera Afrika kupigana na biashara haramu ya wanyama pori

Katika mwongo uliopita, inakadiriwa kwamba ndovu Afrika imepungua kwa idadi ya wanyama 111,000, kulingana na ripoti moja mwaka wa 2016, iliyosababishwa na uwindaji haramu. Malawi, imetajwa na shirika la Conference of the Parties to the Convention on International Trade in Endangered Species (CITES) kuwa “nchi ya kutilia shaka za kimsingi” ambayo impoteza asilimia hamsini ya […]
Na:
Soma zaidi...
A Woman Scooping Water From a Dry Well in East Pokot Kamurio Village Baringo County Kenya
Hadithi Zote
Sudan

“Tunadai maji na hatua za upesi”

Kwa sasa, Envl yatenda kazi kama kile kitengo cha usafi na maji ama Sanitation and Water for All (SWA), au kama mashirika za kiraia nchini Sudan. Tunafanya kazi na wadau tofauti, miongoni mwao ni “Sudanese Consumers Protection Society” na “Sudanese Health Promotion Society” kwa kuwa tumejitolea kuendeleza ajenda ya maji na usafi yani Water, Sanitation […]
Na:
Soma zaidi...
thumb gdoty8yxwbivyd3fyx5acd1ad2c64ad 1
Hadithi Zote

WATANO WAUWAWA KUTOKANA NA MAFURIKO, TANA RIVER

Visa vya vifo kutokana na mafuriko maeneo ya  Kaunti ya Tana River yameongezeka kufikia tano, baada ya siku tatu ya mvua kubwa kunyesha. Jana asubuhi hapo Bilbil, kwenye barabara kuu la Bura-Garissa, mto wa msimu unaotiririka kwenye mto wa Tana, uliwasukuma watoto wawili waliokuwa wakiogelea katika mfereji ulioko katika Bura Irrigation Scheme. Watoto hao wenye […]
Na:
Soma zaidi...
RNile
Hadithi Zote

[:en]Ethiopia, Sudan and Egypt talks on Renaissance dam fail to progress[:ar]محادثات إثيوبيا والسودان ومصر حول سد النهضة فشلت في التقدم

Egypt, Ethiopia and Sudan failed to make progress over the impact of Great Ethiopian Renaissance Dam (GERD) on water share of downstream countries on Thursday in Khartoum. In the emEthiopian Reporter Newspaper understand from Ethiopian foreign affairs office’s high official, the talk ended without any breakthrough because of Egypt disagree by Nile water share issue.
Na:
Soma zaidi...