Hadithi Zote

Tanapa 1
Hadithi Zote

Ujangili Baada ya Kusitishwa Shughuli za kawaida:Tishio kwa Uhifadhi katika Lulu Iliyojaliwa ya Afrika

Na Cliff Abenaitwe Stanley Turyakira mkazi wa Wilaya ya Kanungu, Kusini Magharibi mwa Uganda anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili hadi mitano jela au faini ya mamilioni ya shilingi ya Uganda au zote mbili kwa sababu ya ujangili. Turyakira ni miongoni mwa mamia ya washukiwa ambao wanahukumiwa na Standards, Utilities & Wildlife Court (SUW). Alikamatwa […]
Na:
Soma zaidi...