Hadithi Zote

Rufiji Dam
Hadithi Zote

Kuibua Vitisho kwa Wanyamapori na Misitu ya Mikoko katika Mradi wa Bwawa la Rufiji nchini Tanzania

Uchunguzi unaonyesha viashiria vya awali vya athari mbaya zinazotishia mazingira zitokanazo na mradi mkubwa wa umeme wa maji wa Julius Nyerere nchini Tanzania. Taarifa hii iliandaliwa kwa ushirikiano na Kituo cha Pulitzer. Na Alexandre Brutelle, Christina Oriesching na Osama Al-Sayyad.   “Mradi huu tayari ni janga la kweli la ikolojia,” anasema Darweshi*, mwanamazingira wa eneo hilo ambaye […]
Na:
Soma zaidi...
Kapsambu village Mt Elgon scaled
Hadithi Zote

Maji ya chini ya Ardhi Yachangia Kupunguza Ukatili wa Kijinsia katika Jamii Mashariki mwa Uganda.

Na Melanie Aanyu Sehemu ya wasichana na wanawake katika kata ndogo Mashariki ya Bugisu wamebaini kuwa utafutaji wa maji yaliyokuwa yanahatarisha maisha yao kwa wabakaji, wanajisi, na majambazi mara kwa mara sasa imekuwa historia. Baadhi ya wasichana na wanawake tuliozungumza nao walisema hii ilitokana na kuwepo kwa visima katika jamii. Kwa kusaidia jamii kama hizo, […]
Na:
Soma zaidi...
Irrigation in Mt Elgon scaled
Hadithi Zote

Elgon yaendea yasiojulikana sana ili kuboresha maisha: Hifadhi zake za maji ya chini ya ardhi

Na Mactilda Mbenywe  Kwa upana, maajabu makubwa ya kiikolojia ya Mlima Elgon ni hazina, hifadhi zake za maji chini ya ardhi. Mlima huo unajivunia mabwawa makubwa, mamilioni ya chemchemi, mito inayotiririka na maporomoko ya maji marefu. Data kutoka kwa Mpango wa Tathmini ya Maji Mipakani inaonyesha kwamba chemichemi ya Mlima Elgon yana maji yenye safu […]
Na:
Soma zaidi...
water
Hadithi Zote

Mengi Ilhali Haba: Kauti ya Taita Taveta ingali inakabiliwa na uhaba wa maji huku bwawa la Kisenyi likikauka

Na Lina Mwamachi Malengo ya Maendeleo Endelevu (MME) namba 6 inalenga ulimwengu kufikia upatikanaji wa maji na mahitaji ya usafi wa mazingira kufikia mwaka wa 2030. MME namba 13, Hatua ya Hali ya Hewa, inalingana na lengo la maji. Zote mbili zinalenga kutekelezwa ifikapo mwaka wa 2030. Swali ni je, yatafikiwa? Kusini-mashariki mwa Kenya, mabadiliko […]
Na:
Soma zaidi...
irrigation
Hadithi Zote

Wakulima wa mpunga Uganda waibuka na mbinu mpya baada ya kilimo cha umwagiliaji kufeli

John Okot na David Okema Mto ukiwa unatiririsha maji yake taratibu kutokea kilima cha Langiya kilichopo katika mpaka wa nchi za Uganda na Sudan Kusini, bwana Godffrey Ingala amesimama katikati ya shamba lake la mpunga akiwa hana la kufanya akishuhudia mazao aliyopanda yakinyauka na mingine yakiwa dhaifu. Mkulima huyu mwenye umri wa miaka 42 hana […]
Na:
Soma zaidi...
groundwater
Hadithi Zote

Tunza mazingira kwa uhifadhi wa maji ya chini ya ardhi

Na Fredrick Mugira  Halmashauri ya Mji wa Kakukuru-Rwenanura unapatikana Wilayani Ntungamo eneo la Kagera nchini Uganda. Zaidi ya miaka sita iliopita, mabwawa 12 na visima 16 vimekauka, hii ni kulingana na aliyekuwa mwenyekiti wa  kata ndogo ya Rwikiniro ambaye ni Meya wa Halmashauri ya mji wa Kakukuru-Rwenanura. Karibu kila bwawa lenye kina fupi eneo hili […]
Na:
Soma zaidi...