Hadithi

Hyacinth spreading
Maji Uchafuzi wa mazingira
Kenya

Matumaini Yasitishwa Huku Gugu Likisakama Hekta 1,400 Ziwani Victoria Ndani ya Siku Nne

Gugu maji Ziwani Victoria limeenea kwa hekta 1,441 ndani ya siku nne, kwa mujibu wa picha za setaliti zilizotolewa na shirika la serikali hapo jana. Picha hizo zilizotolewa na taasisi ya Kenya Marine and Fisheries Research Institute (KMFRI) zilionyesha kuwa sehemu iliyofunikwa na gugu, iliongezeka kutoka hekta 6,142 mnamo February 11 na kufikia hekta 7,583 […]
Na:
Turkana drought

Ukame Unavyo Athiri Turkana, Watoto Wakumbwa na Njaa

Kuna hofu kwamba hali mbaya ya hewa katika Kaunti ya Turkana huenda ikachochea pakubwa ukosefu wa chakula, huku shaka ikitanda kuwa wanafunzi watakatiza masomo yao. Wanafunzi wamekosa chakula baada ya mashirika yaliyosaidia serikali katika mpango wake wakuwalisha wanafunzi kusimamisha usaidizi huo, kufuatia kucheleweshwa kwa msaada kutoka kwa wahisani. Afisa anayesimamia ubora wa elimu katika Kaunti […]
Na:
Mugira FishOne

Samaki Aina ya Sangara Yahatarika Afrika Mashariki

Eunice Atieno Ong’iro, mwenye miaka 34, ampasua samaki aina ya sangara, na kuondoa utumbo wake wenye rangi inayokaribia nyeupe, ukubwa wake ukiwa hauzidi ngumi moja. Anaweka kiungo hicho kwenye uzani, kisha ananakili uzani wake kwenye kitabu na kuihifadhi utumbo huo katika mfuko wa plastiki. Ndani ya mda usiozidi sekunde chache tu, zoezi hili linakamilika na […]
Na:
Climate Change
Mabadiliko ya hali ya hewa

[:en]IPCC report confirms the need to keep fossil fuels in the ground to achieve 1.5ºC, 350.org says

Our reporter October 09, 2018 One month after hundreds of thousands of people took to the streets to demand real climate action as part of the Rise for Climate Mobilisation, the world’s scientists have issued their clearest call for avoiding the worst impacts of a warming world. The Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC), UN-backed […]
Na:
Nile in Sudan
Hadithi Zote

The Blue Nile is Not Blue!

By Ishraqa Abbas August 17, 2018 When our polite tour guide at the Grand Addis Ababa Hotel told us that our trip to the source of the Blue Nile (the Blue Nile gorge) would be exciting and enjoyable, it never came to my mind it could be that horrible and tiring; and that I would […]
Na:
WaterTreatment
Hadithi Zote
Tanzania

Vyoo Tosha Kudumu Bado ni Adimu kwa Wavuvi Wa Chiulu

Patrick Kossima, Unyanja FM Radio Hali ya kukimbizana kimbizana kati ya wavuvi na maafisa wa idara ya uvuvi katika kijiji kimoja cha ufukwe wa Ziwa Nyasa, huenda kinachangia kutokuwa kwa vyoo vinavyotosheleza eneo hili. Kijiji cha Chiulu kiko takriban kilomita 7 kusini mashariki mwa makao makuu ya Wilaya ya Nyasa. Watu hapa wanajihusisha na aina […]
Na:
Rukwa

Matumizi Yasiyoendelevu ya Kimazingira Yatisha Ziwa Rukwa

Prosper Kwigize aangazia matokeo ya uharibifu wa kimazingira nchini Tanzania kupitia kipindi chake cha Mtu na Manzingira, kinachopeperushwa hewani na Mpanda Radio nchini Tanzania na ile ya DW, mjini Bonn, nchi ya Ujerumani. Ingawaje Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya Africa Mashariki ambayo yamejaliwa na mazingira mazuri, Watanzania wanalaumiwa kutokuwa na matumizi endelevu ya raslimali […]
Na: