Hadithi

Screenshot 2019 03 29 16.08.40

Kuzungumza kwa Ueneaji Jangwa

“Kila mtu anipiga vita. Wanafikiri kuwa mimi ni mmbaya. Hawaelewi jinsi ninavyotamani kutulia.” Nchi inayokumbana na ukame na mafuriko. Hali ya joto nchini Sudan inakadiriwa kupanda kwa kiasi cha kati ya 1.10C na 3.10C kufikia mwaka wa 2060 hivyo, kuwa vigumu mno kuepuka madhara makubwa ya kijamii na kiuchumi yanayosabavishwa na kuenea kwa jangwa. Tumealikwa […]
Na:
Water Small Towns

Shaka Kuhusu Majiji Madogo Huku Maadhimisho ya Siku ya Maji Yakifanyika

Majiji madogo yanayo zidi kukuwa, yametambulika kuwa tisho ya moja kwa moja kwa upatikanaji wa maji, usafi wa mazingira, na uendelevu wa afya. Siku ya maji inavyoadhimishwa siku ya leo, takwimu zaonyesha upungufu mkubwa wa maji kwa kila Mkenya. Usitawi wa kiholela huzorotesha pakubwa raslimali ya maji; maji yamepungua kwa kiasi cha asilimia 80 kwa […]
Na:
dsc 0095 1
Hadithi Zote
Kenya

TAKA hadi MALI: Jinsi ambavyo wakulima nchini Kenya wanavyohuisha maeneo ya vinamasi Ziwani Victoria yaliyozorota

Mradi wa miaka mitatu wa Ecofinder Kenya, shirika lisilo la kiseriakali linaloshirikiana na Winam Gulf Wetlands mjini Kisumu, liliwapa jamii zinazoishi katika vinamasi vya Ziwa Victoria vichocheo ndiposa nao waweze kuhifadhi vinamasi. Na Annika McGinnis Mabadiliko ya tabia nchi, kilimo na mabwawa huathiri pakubwa vinamasi nchini Kenya – hivyo kuchangia shida iliyoko ya maji na […]
Na:
Webp.net compress image 3
Hadithi Zote
Uganda

Miongo ya Matumizi Busara Yazalisha Matunda Katika Kinamasi cha Kabale

Makubaliano ya umiliki wa kijamii katika kinamasi cha Mugandu-Buramba kimethibiti Kinamasi hiki kwa miaka 40, huku kikiwasaidia wakulima kupata maishilio   Makala na midia-anuai na Fredrick Mugira Usaidizi wa kifundi na Annika McGinnis na Code for Africa   Maua inachanuka katika kinamasi cha Mugandu-Buramba kusini magharibi mwa Wilaya ya Kabale nchini Uganda, kuna yale ya […]
Na:
Marsh 1
Ardhi Maji
Rwanda

Rwanda: Kufurushwa kwa Wawekezaji Kutoka Kwa Vinamasi Kwafanikiwa, Ila Mengi Bado Yahitajika Kufanywa

Makala haya yameandaliwa kwa hisani ya InfoNile na Code for Africa Na Leonce Muvuni Serikali ya Rwanda inajitahidi kuwaondoa wawekezaji wote pamoja na kuharamisha shughuli zote zilizo kinyume na sheria ndani ya vinamasi, kwa madhumuni ya kurejesha hali yao ya kiekolojia. Shughuli hii ya kufutilia mbali ujenzi wa aina yote kutoka sehemu zilizotengwa za vinamasi, […]
Na:
368

Uchafuzi Jijini Khartoum: Desturi ya Kulinda Mazingira Haipo

Jiji la Khartoum liliinua kichwa chake, likitarajia ugonjwa wake kutibiwa kufuatia marekebisho kadhaa ya katiba…hata hivyo, hakuna kilichotendeka basi kupelekea jiji kulizika  kichwa chake tena ndani ya lindi la taka. Jiji hili kuu la Sudan, ambalo hadi mwaka wa 1950, lilikuwa jiji safi zaidi miongoni mwa majiji kuu ya Afrika limegeuka kuwa mojawapo ya jiji […]
Na:
Specials Pollution Pollution in Sudan fanack AFP1024PX

Changamoto za Kimazingira Nchini Sudan

Changamoto za kimazingira zinazokumba nchi ya Sudan – nchi iliyoko mashariki mwa Afrika, likiwa na eneo lisilozidi milioni 1.88 kilomita mraba – ni nzito. Nchi hii iliyo na kanda tatu za hali ya hewa, kila moja yao ikiwa na viumbe hai vya kipekee, imeathiriwa na vita: mgogoro umezuka ndani ya 32.7% ya eneo lake nzima […]
Na:
Scidev.Net Hunger
Misitu
Sub-Sahara Africa

Bara Afrika Lazama katika Njaa Zaidi

[DAR ES SALAAM] Inawalazimu viongozi wa Afrika kuwa na utashi wa kisiasa ili kupambana na ukosefu wa chakula kama ambavyo ripoti mpya inavyo onyesha, kwamba njaa inazidi kuongezeka kufuaitia miaka mingi ya kuzorota barani, mtaalamu amesema. Kulingana na ripoti hiyo ambayo ilizinduliwa mwezi huu (Februari 13) nchini Uhabeshi, Kusini mwa Jangwa la Sahara ndio eneo […]
Na: