Hadithi

Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki katika Ziwa Victoria

InfoNile inawakaribisha wanahabari wanawake kutoka nchi za Uganda, Kenya na Tanzania, kuwasilisha maombi ya kuandika habari za; ‘Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki katika Ziwa Victoria’. Habari hizo ni mfululizo wa habari zinazoangazia madhara ya uchafuzi wa mazingira unaotokana na plastiki na uvumbuzi wa ndani uliofanywa ili kukabiliana na uchafuzi huo. Mradi huu […]
Na:
IMG 6268 2
Hadithi Zote

Uokoaji Wa Twiga aina ya Rotchild nchini Kenya

Mwandishi: Sharon Atieno Twiga wa Rothschild hupatikana tu nchini Uganda na Kenya Kumekuwa na upungufu wa karibu 40% katika idadi ya twiga nchini kwa zaidi ya miongo mitatu iliyopita. Soma zaidi juu ya hatua za Kituo cha Twiga kuokoa Rothschild kupitia Uhifadhi na Uhamishaji Kati ya aina tisa za twiga zinazopatikana barani Afrika, tatu mingoni […]
Na:
ethiopia
Hadithi Zote
Ethiopia

Addis Ababa, COVID-19 ni changamoto na pia fursa

Mekonnen Teshome na Tesfaye Abate Ethiopia imekuwa ikikabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji safi kwa kipindi kirefu sasa. Lakini mwamko ambao umeoneshwa kwenye sekta ya usafimjini Addis Ababa, ambao ni mji mkuu mkongwe wenye miaka 133, baada ya kuibuka kwa maradhi ya COVID-19, umekuwa kichocheo cha kuifanya sekta ya usafi kuwa ni kipaumbele katika […]
Na:
River
Hadithi Zote
Ethiopia

Addis Ababa COVID-19 ni changamoto na pia fursa

Mekonnen Teshome na Tesfaye Abate Ethiopia imekuwa ikikabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji safi kwa kipindi kirefu sasa. Lakini mwamko ambao umeoneshwa kwenye sekta ya usafimjini Addis Ababa, ambao ni mji mkuu mkongwe wenye miaka 133, baada ya kuibuka kwa maradhi ya COVID-19, umekuwa kichocheo cha kuifanya sekta ya usafi kuwa ni kipaumbele katika […]
Na:
Daniel
Hadithi Zote
Kenya

Huku majanga ya ugonjwa na ukosefu wa maji yakizidi nchini Kenya, WaterCredit, umewezesha jamii za mapato ya chini kujipatia maji huku ikidumisha hali ya usafi kupitia mikopo midogo.

Na George Achia Rose Okeyo mwenye umri wa miaka 38, alikuwa tayari anatatizika kupata maji ya kutosha kwa matumizi yake ya nyumbani katika kipindi cha kutotoka nje kufuatia janga la COVID-19, wakati ruzuku ya maji ilipobomolewa na maporomoko wa ardhi karibu na nyumbani kwake katika kitongoji duni cha Kawangware, mjini Nairobi. Mvua nyingi iliyonyesha msimu […]
Na:
plastic
Hadithi Zote
Uganda

Vijana Wabadilisha Kinyesi Kuwa Nishati Eneo la Sebei

Kundi moja la vijana, wengi wao wakiwa wa kike wilayani Kapchorwa, iliyoko eneo ndogo la Sebei, mashariki nchini Uganda, wameanzisha mradi mpya unaotumia nguvu za jua kuibadilisha kinyeshi cha mifugo na binadamu kuzalisha nishati madhubuti ya upishi. Pick It Clean, aina ya biashara mpya ya kijamii – ni kampuni la kifaida linaloendeleza wema wa kijamii […]
Na:
Trees planted by the team within the Bubulo Town Council Copy
Uncategorized @sw Hadithi Zote
Uganda

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake ya serikali ya mtaa ili apambane na tabia nchi wilayani Manafwa, walisikitika sana. “Hawakuelewa maana yake ni nini. Hawakudhania kwamba hii ingeniwezesha kujimudu na kumudu jamii yangu kifedha,” Mandu alisema. “Haikuwa na bado sio kitu […]
Na: