Hadithi

IMG 7170 scaled
Hadithi Zote

Maji yanapoimeza ardhi ya wakazi wa Ripon

Habari ya ardhi inayozama  inaangazia tamu na chungu ya uhusiano uliopo kati binadamu na maji kwa wakazi waishio  eneo la Ripon eneo ambalo lipo karibu kabisa na chanzo cha mto Nile kwenye Ziwa Viktoria upande wa Uganda. Ni mwendo wa kati ya dakika tano na kumi kwa usafiri wa boti kutoka eneo hili hadi Ziwa […]
Na:
Copy of Elephants at Waterhole by Louie Phipps 1
Uncategorized @sw

Migogoro ya binadamu na wanyamapori Hifadhini yaibua ubunifu

Na Linah Mwamachi Katika kaunti ya Taveta nchini Kenya, mitafaruku katika ya wanyamapori na binadamu imekuwa ikijitokeza kwa miaka mingi mtafaruku mkubwa ni wa kugombania bidhaa adimu ambayo ni maji. Mabadiliko mabaya  ya hali ya hewa  yameathiri kwa kiasi kikubwa tabia na taratibu  za wanadamu za kila siku katika eneo hili hasa pale wanadamu wapolazimika […]
Na:
Chimpanzee Natural High Safaris
Hadithi Zote Uncategorized @sw

Sokwe maarufu Tanzania wako hatarini kutoweka kabisa kwenye uso wa dunia

COVID 19 inasababisha hofu ya vifo vya wanyama na kupungua kwa watalii Prosper Kwigize- Kigoma, Tanzania Wakati biashara ya maliasili na mazingira inazidi kushamiri duniani, mazingira hatari na ulinzi mdogo wa wanyamapori zinatajwa kuwa ni vitisho vikubwa kwa uchumi wa Eneo la Maziwa Makuu hasa Tanzania ambako utalii ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato […]
Na:
Conservancies in Kenya. By Kenya Wildlife Conservancies
Hadithi Zote Uncategorized @sw

Wahifadhi Kenya washindwa kulipa ardhi waliyokodisha kutokana na janga la COVID-19 linalohusishwa na kushuka kwa mapato ya utalii

Na Lenah Bosibori  Janga la korona limeziathiri kwa   kiasi kikubwa  hifadhi za nchini Kenya.  Shughuli za kitalii kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara ambayo ni maarufu Duniani zimeshuka sana na kupelekea miradi ya uhifadhi kuwa hatarini kutokana na ukosefu wa fedha. Hadi sasa Kenya imepoteza takriban asilimia themanini ya mapato yake yatokanayo na […]
Na: