Hadithi

Mara2

Ripoti mpya ya uvuvi kupendekeza mwelekeo wa shughuli za uvuvi

Katika kisiwa cha Ghana, wilayani Ukerewe wavuvi wajiandaa tayari kwa shughuli ya uvuvi, majira ya jioni, wakiandamana na watafiti wa taasisi ya utafiti ya uvuvi Tanzania (TAFIRI). Imekamilisha awamu yake ya pili ya utafiti katika ziwa Victoria ili kubaini aina gani ya nyavu zitumike kwa shughuli ya uvuvi kufuatia zoezi la uchomaji nyavu haramu unaoendeshwa […]
Na:
DSC01372
Hadithi Zote Misitu
Tanzania

Kidimbwi Chaokoa Mto Mara Kutokana na Uchafuzi Unaosababishwa na Uchimbaji Thahabu

Na Jacob Mugini Barabara inayoelekea Murito yapitia mashamba madogomadogo na yale makubwa ya kilimo, lakini yafika hapa Tarime, eneo la Mara, kaskazini mwa Tanzania. Miaka miwili iliyopita, kabla ya kidimbwi kinachotumika kusafisha thahabu kujengwa katika kijiji hiki, Murito ilikuwa kama vijiji vinginevyo kaskazini Tanzania. Lakini sasa, jamii hii kakamavu, ambamo Bi Eliza Mogesi, mkulima mdogo […]
Na:
fff

Maporomoko ya Ardhi Yawaua Watu 23 Uhabeshi

Maporomoko ya ardhi kusini mwa eneo la Oromoia nchi ya Uhabeshi yawaua watu 23, siku ya Jumamosi. Kituo cha habari cha FANA kiliripoti kuwa kisa cha maporomoko ya ardhi kilitokea baada ya mvua kubwa kunyesha jioni. Watu sita pia walijeruhiwa na zaidi ya mifugo 30 waliangamia.
Na:
vlcsnap 2018 04 27 00h59m57s2521

Bonde la Nile Mashariki Wanahabari Hawaumii Peke Yao

Ishraqa Abbas Changamoto zinazohusu upatikanaji wa habari za maji eneo la Nile, haziwakabili tu wanahabari. Wataalamu, wanasayansi na wanasiasa wahusika pia wao wanakabiliana na changamoto hii, hivyo kuifanya kazi ya wanahabari kuwa ngumu zaidi. Kama ilivyoangaziwa katika kongamano la sayansi ambalo lilijadili matatizo ya mawasiliano pamoja na habari za mausiano ya kisayansi, kati ya vyombo […]
Na:
Mbeya
Hadithi Zote

Pesa kwanza, afya baadaye

NA FELIX MWAKYEMBE, CHUNYA PESA, ndicho kitu pekee chenye thamani kwa wachimbaji wadogo katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, afya sio kipaumbele chao. Wachimbaji hao wadogo wa dhahabu hawaliangalii suala afya zao kuwa ni jukumu lao wenyewe, bali wamemuachia Mungu, kwao ndiye anayewasaidia kuepukana na magonjwa ya milipuko. “Mungu anatusaidia, magonjwa ya milipuko hakuna, ila […]
Na:
Mara2

Vita dhidi ya vifaa haramu vya uvuvi, vyazaa matunda Ziwani Victoria

Ripoti hii imefanikishwa kutokana na ruzuku iliyodhaminiwa na InfoNile pamoja na Code for Africa. Ilichapishwa kwanza na Star TV. Operesheni ya kuzuia uvuvi haramu inayoendelea katika ziwa victoria imemkamata mvuvi mkubwa, Joseph Kando Mkama maarufu kama Njiwa pori akiwa ameficha zana za uvuvi haramu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja nukta moja. Katika […]
Na:
dam66

Bilioni 11.58 Zakusanywa kwa Ujenzi wa GERD

Afisi la baraza la kitaifa linaloratibisha ushirikishi wa umma kuhusu ujenzi wa bwawa, lilibainisha kwamba Birr bilioni 11.58 imeshakusanywa kutoka kwa umma tangu mwanzo wa ujenzi wa bwawa. Ili kushirikisha umma kwa kiasi kikubwa, mashindano ya mbio imepangwa taifa nzima, Jumapili ijayo. “Nitakimbilia Abay” zitawahusisha zaidi ya watu 250,000. Hadi sasa, zaidi ya watu 230,000 […]
Na: