Hadithi

cc9a5c22919941d1aadb6bd6f8e381a9 18

Kisilu: Shajara la Hali ya Hewa

Tunaandamana na mkulima Mkenya kwa zaidi ya miaka minne ili kuonyesha jinsi ambavyo mabadiliko ya tabia nchi yanamuathiri mwanadamu. Mabadiliko ya tabia nchi yanaathiri maeneo yote ulimwenguni, lakini maeneo mengine yako mashakani zaidi. Maeneo kadhaa ya Afrika Mashariki tayari yanashuhudia msukosuko wa athari za hali ya hewa, zikiwemo zile zinazotegemea kilimo kwa maishilio kuwa katika […]
Na:
5555

Ziwa Cheleleka Laelekea Kukauka

Lilikuwa eneo lilotajika kuwa kiini cha mapumziko ukitumia mashua za kawaida ama motaboti na lilionyesha mandhari ya kuvutia inayotumika kutembea kando mwa ziwa. Lakini sasa asilimia 80 ya ardhi iliyokuwa sehemu ya ziwa imeshakauka na inatumika katika ukulima. Hususa kaskazini na mashariki mwa sehemu ya ziwa, shughuli kubwa ya kilimo inaendelea. Pia kuna maeneo ya […]
Na:
Neves womens group
Hadithi Zote

Maji Yetu, Uridhi Wetu

Jinsi ambavyo wanawake wanashindikiza mabadiliko ya kitaifa katika mojawapo ya mataifa madogo Afrika Vile ambavyo dhana ya kisiwa yasisimua taswira ya pwani paradisoni, kwa nchi za visiwa 51 madogo ulimwenguni, yaani Small Island Developing States, hii kwa wakati mwingi huwa tu ni fikira ya kuvutia iliyo dhaifu.
Na:
Athi 2 Sand harvester Kamulu preview.jpeg ECK

Kuchunguza Ukakamavu wa Kimazingira: Safari Kwenye Mto Athi Nchini Kenya

Mto Athi waanza katika mabonde yanayosifika ya Ngong, yakipaa juu ya jiji la Nairobi. Mkondo wake wapita jiji hili kuu na katikati mwa hifadhi la kitaifa la wanyama la Tsavo East, hadi linapofika Bahari la Hindi. Mto huu, vijito pamoja na kingo zake ni chanzo cha maji ya kunywa na yanayotumika kwa kilimo cha umwagiliaji […]
Na:
Athi River

Uchungu Wa Jamii za Green Park Baada ya Kuwekeza Katika Manyumba

Francis Opiyo, mwenye umri wa miaka sitini na tisa, alitaka tu kumiliki nyumba ambayo angestaafia ndani yake, baada ya kuhudumu kama Kamanda Mkuu wa polisi wa Nyando. Alitumia marupurupu yake ya kustaafu kununua nyumba katika mtaa wa kifahari wa Green Park, hapo Athi River kwa milioni sita. Huo ulikuwa mwaka wa 2006. Lakini huenda ndoto […]
Na:
ethiopia 2

Nchi yajitahidi kuendeleza mradi wa kimazingira

Baolojia yatueleza kuwa maisha huletwa kwa kujumuika pamoja. Hakuna kinachoweza kusimama peke yake. Hata mawanadamu ambaye anao uwezo mkubwa wa kudhibiti mazingira, hawezi ishi bila mimea na wanyama, kwa vile maisha hayawezekani bila utegemeano. Hivyo, nchi ya Uhabeshi imekuwa ikiendeleza mradi wa kimazingira ambayo itazipa nguvu juhudi za kitaifa na kimataifa za kuhifadhi mazingira
Na:
MV Liemba the Oldest Marine in East Africa
Hadithi Zote Maji
Tanzania

Nini Kinachofanya MV Leimba Kupoteza Nafasi Yake ya Uegeshi Ndani ya Ziwa Tanganyika?

Makala Asili ya InfoNile Na Prosper Kwigize Kwa miaka 100 iliyopita, uegeshi salama katika bandari ya Kigoma Harbor ndani ya Ziwa Tanganyika, ilikuwa shughuli ya kawaida kwa MV Leimba, mojawapo ya meli zee duniani, iliyoundwa takriban miaka 100 iliyopita nchini Ujerumani. Lakini sasa mambo yamebadilika. Uegeshi salama hauwezekani kamwe! Ziwa linapungua. Upwa nao umeharibika. Na […]
Na:
Africa 1

Mabadiliko ya tabia nchi yanazidisha machafuko Afrika

Mwendo usio mrefu kutoka mji wa kihistoria wa Timbuktu, Kidan, ambaye ni mzalishaji mifugo, bibi na binti yake, wanaishi kwa amani huku wamejitenga kutoka mji uliodhibitiwa na kundi haramu. Hata hivyo, kujitenga huku kunatamatika pindi mvuvi anamuuwa mmoja wa ng’ombe wake, aliyeharibu wavu wa kuvua samaki, alipokuwa akinywa maji kutoka Mto Niger. Kidan anaharakisha ili […]
Na: