Stories / Author

Sarah Namulondo

Uncategorized @sw

Mushkeli katika sheria zachochea unyakuaji ardhi Wawekezaji wa kigeni walipata hektari millioni 2.5 ya ardhi

Na Paul Jimbo Makala haya yametayarishwa kwa hisani ya InfoNile na Code for Africa pamoja na usaidizi kutoka kwa Pulitzer Center Sudan Kusini, nchi changa zaidi duniani, imekuwa ikigonga vichwa vya habaria ulimwenguni, sio kwa sababu nzuri, ila tu kwa sababu zinginezo zikiwemo vita vya wenyewe kwa wenyewe, migogoro ya kikabila na unyakuaji ardhi. Migogoro […]
Na:
Soma zaidi...