Stories / Author

Sarah Namulondo

Trees planted by the team within the Bubulo Town Council Copy
Uncategorized @sw Hadithi Zote
Uganda

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake ya serikali ya mtaa ili apambane na tabia nchi wilayani Manafwa, walisikitika sana. “Hawakuelewa maana yake ni nini. Hawakudhania kwamba hii ingeniwezesha kujimudu na kumudu jamii yangu kifedha,” Mandu alisema. “Haikuwa na bado sio kitu […]
Na:
Soma zaidi...
Julia Asekenya of Tajar Kolir in Bukedea district collecting water from the nearby stream which is their main source
Hadithi Zote
Uganda

Watoto Walionusurika Maporomoko ya Udongo Waongoza Jitihada za Kupanda Miti katika Kambi Mpya ya Bunambutye Waishiyo iliyo na Upungufu wa Maji

Na Javier Silas Omagor Mamia ya watu wanapambana na upungufu mkubwa wa maji safi na salama katika vijiji vya Bunambutye ambavyo ni makazi mapya ya wahanga wa maporomoko ya maji, huku kwa upande mwingine wakipambana na janga la Corona. Kaya takribani 140 zilizoathirika katika Awamu ya II zilihamishiwa kutoka Bududa na kupelekwa makazi ya Bunambutye […]
Na:
Soma zaidi...
Jenifer Cana P6 Pupil of Ariwa Primary school in Ariwa village Rhinocamp Refugee settlement cooking beans using firewood She sales food ration ot By Firewood Photo By Robert Ariaka 1
Hadithi Zote
Uganda

Wakimbizi Wageuza Kinyesi Cha Binadamu Kuwa Kuni Mbadala Ya Kupikia Kwa Madhumuni Ya Kuhifadhi Miti Na Kukabiliana Na Tabia Nchi

Na Robert Ariaka Kundi la wanawake wakimbizi wa Sudan Kusini wilayani Arua, wanatengeneza matofali kutokana na kinyesi cha binadamu ili kutumika badala ya kuni na makaa. “Matofali yatokanayo na kinyesi cha binadamu hutumika kwa muda mrefu wa masaa manane, hivyo kurahisisha shughuli ya upishi ikilinganishwa na kuni za kawaida,” asimulia Roda Selwa, kijana ambaye ni […]
Na:
Soma zaidi...
IMG61110 Nyabarongo
Mabadiliko ya hali ya hewa
Rwanda

Vijana Nchini Rwanda Wachukuwa Usukani Katika Utunzi wa Tengamaji wa Nyabarongo

Na Aimable Twahirwa Ni masaa ya asubuhi Jumatatu moja lenye joto jingi huko Nyamagabe,  ambayo ni wilaya iliyo na milima mingi Kusini mwa Rwanda, ambako kundi la vijana limekusanyika kwa mkutano, ili kushiriki katika mafunzo muhimu ya kuzuia momonyoko wa udongo wa kila mara hadi mto jirani wa Nyabarongo. Mkakati huu ni mojawapo ya zoezi […]
Na:
Soma zaidi...
Pictures INfoN
Hadithi Zote
Sudan South

Green Horizon, mradi wa usalama wa chakula washughulikia maslahi ya jamii za Jebel Ladu huku ukikuza mazao kutuliza janga la njaa nchini Sudan Kusini

Zaidi ya hektari milioni 2.5 ya ardhi nchini Sudan Kusini imetwaliwa na wawekezaji haswa wa kimataifa tangu mwaka wa 2006 Na David Mono Danga Ripoti hii imetayarishwa kwa ushirikiano wa InfoNile na Code for Africa na usaidizi kutoka kwa Pulitzer Center. Sudan Kusini, taifa changa zaidi duniani inakumbana na changamoto nyingi, ikiwemo umaskini na njaa. […]
Na:
Soma zaidi...
These rice silos have since stopped being used
Hadithi Zote

Mabishano Ya Kinamasi Cha Yala: Ahadi Zilizovunjika, Ardhi Imebakia Mahame

Ripoti hii imefanikishwa kwa ushirikiano wa InfoNile na Code for Africa na usaidizi kutoka kwa Pulitzer Center Na Geoffrey Kamadi Kisa kinachohusisha kinamasi cha Yala na kampuni ya Dominion Farms Limited huenda kikafananishwa na usimulizi mwingine wowote wa kusikitisha, ambao kwa kawaida uhusisha kitendo cha unyakuzi ardhi ambao umekwenda mrama. Mara nyingi, visa kama hivi […]
Na:
Soma zaidi...