Stories / Author

Konjit Teshome

47338

Wiki ya Maji ya Kwanza Mjini Cairo Kuadhimishwa Oktoba

CAIRO – Mei 22, 2018: Misri itawakaribisha wataalamu wa maji kutoka nchi 53 kushiriki katika kongamano la “Wiki ya Maji Cairo”, ambalo litafanyika Oktoba 14-18 kujadili maswala ya maji. Iman Sayed Ahmed, mkurugenzi mkuu wa sekta ya mipango katika Wizara ya Raslimali ya Maji na Kilimo cha Umwagiliaji Maji, alisema kuwa Rais Abdel Fatah al-Sisi […]
Na:
Soma zaidi...
222

Miji Africa zajitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani kufikia sufuri, itakapowadia mwaka wa 2050

Katika mkutano mmoja nchini Nigeria wiki hii, miji tisa za Africa zilijitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani hadi sufuri katika miongo mitatu ijayo. Miji hii inajumuisha miji mikuu Africa kama vile Accra, Cape Town, Lagos na Johannesburg. Adjei Sowah, Meya wa jiji la Accra alisema wakaaji jijini mwake “waendelea kuwa na ufahamu” kuhusu maswala ya […]
Na:
Soma zaidi...
RNile
Hadithi Zote

[:en]Ethiopia, Sudan and Egypt talks on Renaissance dam fail to progress[:ar]محادثات إثيوبيا والسودان ومصر حول سد النهضة فشلت في التقدم

Egypt, Ethiopia and Sudan failed to make progress over the impact of Great Ethiopian Renaissance Dam (GERD) on water share of downstream countries on Thursday in Khartoum. In the emEthiopian Reporter Newspaper understand from Ethiopian foreign affairs office’s high official, the talk ended without any breakthrough because of Egypt disagree by Nile water share issue.
Na:
Soma zaidi...