Stories / Author

Geoffrey Kamadi

Mara2

Vita dhidi ya vifaa haramu vya uvuvi, vyazaa matunda Ziwani Victoria

Ripoti hii imefanikishwa kutokana na ruzuku iliyodhaminiwa na InfoNile pamoja na Code for Africa. Ilichapishwa kwanza na Star TV. Operesheni ya kuzuia uvuvi haramu inayoendelea katika ziwa victoria imemkamata mvuvi mkubwa, Joseph Kando Mkama maarufu kama Njiwa pori akiwa ameficha zana za uvuvi haramu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja nukta moja. Katika […]
Na:
Soma zaidi...
cut trees

Miti ya Matunda Inavyoanguka, Ndivyo Njaa Inavyotishia Kenya

KAJUKI, Kenya, Aprili 20 (Thomson Reuters Foundation) – Wakati Leah Mutembei alipokua kijiji cha Kajuki, kilichoko Kenya ya Kati, miti ya avokado ilizagaa mashamba mengi kule. “Lakini sasa, hayapo tena,” kaeleza Mutembei, mkulima wa mahindi mwenye umri wa miaka thelathini na miwili, huku akinyosha kidole chake kuonyesha shamba lilivyobaki kavu. “Ilitubidi kukata miti ndiposa tupate […]
Na:
Soma zaidi...
KElangat herder app

Wafugaji nchini Kenya wageukia programu ya simu ya rununu ili kupunguza hatari zinazoletwa na ukame

Na Anthony Langat ARKAMANA, Kenya, Mei 7 (Thomson Reuters Foundation) –  Wakati wa ukame, mfugaji Buchu Boru hulazimika kutembea kilomita nyingi, kutafutia mifugo wake lisho, pasipo hakikisho kwamba atafanikiwa. “Utaelezwa kuwepo kwa lisho, ila tu utaporejea hupati lolote,” alisema Boru, mzee wa miaka sitini, ambaye hulazimika kutembea kutoka nyumbani kwake hadi kupita mpaka wa Ethiopia […]
Na:
Soma zaidi...
thumb gdoty8yxwbivyd3fyx5acd1ad2c64ad 1
Hadithi Zote

WATANO WAUWAWA KUTOKANA NA MAFURIKO, TANA RIVER

Visa vya vifo kutokana na mafuriko maeneo ya  Kaunti ya Tana River yameongezeka kufikia tano, baada ya siku tatu ya mvua kubwa kunyesha. Jana asubuhi hapo Bilbil, kwenye barabara kuu la Bura-Garissa, mto wa msimu unaotiririka kwenye mto wa Tana, uliwasukuma watoto wawili waliokuwa wakiogelea katika mfereji ulioko katika Bura Irrigation Scheme. Watoto hao wenye […]
Na:
Soma zaidi...