Stories / Author

Geoffrey Kamadi

Climate Change is threatening the progress to achieve a sustainable vision of water for all. Photo by Andrew Tushabe

Ukosefu wa Maji Wasababisha Kipindupindu

Kwa ufupi Mlipuko wa kipindupindu Mkoani Songwe, Wilaya ya Songwe ilikuwa ni changamoto kuu mwishoni wa mwaka uliopita hadi mapema mwaka wa 2018. Sababu ya mlipuko huu ilikuwa ukosefu wa maji. Hata hivyo, wanavijiji hawa walihamasishwa jinsi ya kuzingatia kanuni za usafi ili kuepuka na maradhi haya siku za usoni. Waliona kuwa jambo njema. Raymond […]
Na:
Soma zaidi...
Some wells harbour live frogs

Ukosefu wa Vyoo Kulisababisha Kipindupindu

  Kwa ufupi Ukosefu wa vyoo Mkoani Songwe, Wilaya ya Songwe imetajwa kuwa mojawapo ya sababu ambayo ilipelekea kuenea kwa kipindupindu eneo hili, mnamo mwishoni mwa mwaka uliopita hadi mapema mwaka wa 2018. Raymond Mhaluka, wa kituo cha radio cha Bomba FM alizuru eneo hili kutaka kujua jinsi ambavyo, ukosefu wa vyoo, mazingira yaliyosafi na […]
Na:
Soma zaidi...
Mara2

Ripoti mpya ya uvuvi kupendekeza mwelekeo wa shughuli za uvuvi

Katika kisiwa cha Ghana, wilayani Ukerewe wavuvi wajiandaa tayari kwa shughuli ya uvuvi, majira ya jioni, wakiandamana na watafiti wa taasisi ya utafiti ya uvuvi Tanzania (TAFIRI). Imekamilisha awamu yake ya pili ya utafiti katika ziwa Victoria ili kubaini aina gani ya nyavu zitumike kwa shughuli ya uvuvi kufuatia zoezi la uchomaji nyavu haramu unaoendeshwa […]
Na:
Soma zaidi...