Stories / Author

Geoffrey Kamadi

Rukwa

Matumizi Yasiyoendelevu ya Kimazingira Yatisha Ziwa Rukwa

Prosper Kwigize aangazia matokeo ya uharibifu wa kimazingira nchini Tanzania kupitia kipindi chake cha Mtu na Manzingira, kinachopeperushwa hewani na Mpanda Radio nchini Tanzania na ile ya DW, mjini Bonn, nchi ya Ujerumani. Ingawaje Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya Africa Mashariki ambayo yamejaliwa na mazingira mazuri, Watanzania wanalaumiwa kutokuwa na matumizi endelevu ya raslimali […]
Na:
Soma zaidi...
Mau Forest Evictions

Naibu wa Rais Awaamuru Maskwota Kuondoka Katika Msitu wa Mau

Serikali imeamuru jamii 600 ambao waliingilia Msitu wa Maasai Mau, kuondoka. Naibu wa rais William Ruto, ambaye alizungumza wikendi iliyopita katika shule ya upili ya Sogoo, Narok Kusini, ambapo ipo sehemu ya msitu, aliwataka maskwota hao kuondoka, akinena kuwa uhifadhi wa mazingira ni muhimu kwa nchi. Hatua hii imechukuliwa ili kuhifadhi hektari 46,000 ya msitu, […]
Na:
Soma zaidi...
KEesipisu well drilling

Kenya Yaangalia Ndani mwa Kisichofahamika: Hifadhi Yake ya Maji ya Chini Kwa Chini

Na Isaiah Esipisu UKUNDA, Kenya, Julai 2 (Thomson Reuters Foundation) – Bahari zimeremetazo na kuramba upwani Diani, zimeifanya pembe hii ya kusini mashariki mwa Kenya kuwa mojawapo ya vivutio vikubwa kwa watalii. Hata hivyo, ni wageni wachache wanaofahamu kwamba maji miferejini mwao inatoka visimani vilivyozamishwa ndani ya matabaka – hifadhi ya chini kwa chini ya […]
Na:
Soma zaidi...