Stories / Author

Geoffrey Kamadi

Scidev.Net Hunger
Misitu
Sub-Sahara Africa

Bara Afrika Lazama katika Njaa Zaidi

[DAR ES SALAAM] Inawalazimu viongozi wa Afrika kuwa na utashi wa kisiasa ili kupambana na ukosefu wa chakula kama ambavyo ripoti mpya inavyo onyesha, kwamba njaa inazidi kuongezeka kufuaitia miaka mingi ya kuzorota barani, mtaalamu amesema. Kulingana na ripoti hiyo ambayo ilizinduliwa mwezi huu (Februari 13) nchini Uhabeshi, Kusini mwa Jangwa la Sahara ndio eneo […]
Na:
Soma zaidi...
Hyacinth spreading
Maji Uchafuzi wa mazingira
Kenya

Matumaini Yasitishwa Huku Gugu Likisakama Hekta 1,400 Ziwani Victoria Ndani ya Siku Nne

Gugu maji Ziwani Victoria limeenea kwa hekta 1,441 ndani ya siku nne, kwa mujibu wa picha za setaliti zilizotolewa na shirika la serikali hapo jana. Picha hizo zilizotolewa na taasisi ya Kenya Marine and Fisheries Research Institute (KMFRI) zilionyesha kuwa sehemu iliyofunikwa na gugu, iliongezeka kutoka hekta 6,142 mnamo February 11 na kufikia hekta 7,583 […]
Na:
Soma zaidi...
Turkana drought

Ukame Unavyo Athiri Turkana, Watoto Wakumbwa na Njaa

Kuna hofu kwamba hali mbaya ya hewa katika Kaunti ya Turkana huenda ikachochea pakubwa ukosefu wa chakula, huku shaka ikitanda kuwa wanafunzi watakatiza masomo yao. Wanafunzi wamekosa chakula baada ya mashirika yaliyosaidia serikali katika mpango wake wakuwalisha wanafunzi kusimamisha usaidizi huo, kufuatia kucheleweshwa kwa msaada kutoka kwa wahisani. Afisa anayesimamia ubora wa elimu katika Kaunti […]
Na:
Soma zaidi...
Mugira FishOne

Samaki Aina ya Sangara Yahatarika Afrika Mashariki

Eunice Atieno Ong’iro, mwenye miaka 34, ampasua samaki aina ya sangara, na kuondoa utumbo wake wenye rangi inayokaribia nyeupe, ukubwa wake ukiwa hauzidi ngumi moja. Anaweka kiungo hicho kwenye uzani, kisha ananakili uzani wake kwenye kitabu na kuihifadhi utumbo huo katika mfuko wa plastiki. Ndani ya mda usiozidi sekunde chache tu, zoezi hili linakamilika na […]
Na:
Soma zaidi...