Stories / Author

Infonile Editors

DSC01372
Hadithi Zote Misitu
Tanzania

Kidimbwi Chaokoa Mto Mara Kutokana na Uchafuzi Unaosababishwa na Uchimbaji Thahabu

Na Jacob Mugini Barabara inayoelekea Murito yapitia mashamba madogomadogo na yale makubwa ya kilimo, lakini yafika hapa Tarime, eneo la Mara, kaskazini mwa Tanzania. Miaka miwili iliyopita, kabla ya kidimbwi kinachotumika kusafisha thahabu kujengwa katika kijiji hiki, Murito ilikuwa kama vijiji vinginevyo kaskazini Tanzania. Lakini sasa, jamii hii kakamavu, ambamo Bi Eliza Mogesi, mkulima mdogo […]
Na:
Soma zaidi...
Mbeya
Hadithi Zote

Pesa kwanza, afya baadaye

NA FELIX MWAKYEMBE, CHUNYA PESA, ndicho kitu pekee chenye thamani kwa wachimbaji wadogo katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, afya sio kipaumbele chao. Wachimbaji hao wadogo wa dhahabu hawaliangalii suala afya zao kuwa ni jukumu lao wenyewe, bali wamemuachia Mungu, kwao ndiye anayewasaidia kuepukana na magonjwa ya milipuko. “Mungu anatusaidia, magonjwa ya milipuko hakuna, ila […]
Na:
Soma zaidi...
Karuma
Hadithi Zote

Mradi wa Umeme wa Karuma Wakiribia Kukamilika

Water Journalists Africa Jinsi ambavyo mradi wa umeme wa megawati 600 wa Karuma Hydropower wakaribia kukamilika – hatua muhimu unaoendelea – utengenezaji wa vifaa vya umeme vinavyosindizwa na nguvu za maji na ile ya mitambo ya umeme. Vifaa hivi vinajumuisha turbine na sehemu husika kama vile pete ya chini, kifuniko kikuu, mlango wa wicket, shaba […]
Na:
Soma zaidi...