Stories / Author

Infonile Editors

Climate Change
Mabadiliko ya hali ya hewa

[:en]IPCC report confirms the need to keep fossil fuels in the ground to achieve 1.5ºC, 350.org says

Our reporter October 09, 2018 One month after hundreds of thousands of people took to the streets to demand real climate action as part of the Rise for Climate Mobilisation, the world’s scientists have issued their clearest call for avoiding the worst impacts of a warming world. The Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC), UN-backed […]
Na:
Soma zaidi...
MV Liemba the Oldest Marine in East Africa
Hadithi Zote Maji
Tanzania

Nini Kinachofanya MV Leimba Kupoteza Nafasi Yake ya Uegeshi Ndani ya Ziwa Tanganyika?

Makala Asili ya InfoNile Na Prosper Kwigize Kwa miaka 100 iliyopita, uegeshi salama katika bandari ya Kigoma Harbor ndani ya Ziwa Tanganyika, ilikuwa shughuli ya kawaida kwa MV Leimba, mojawapo ya meli zee duniani, iliyoundwa takriban miaka 100 iliyopita nchini Ujerumani. Lakini sasa mambo yamebadilika. Uegeshi salama hauwezekani kamwe! Ziwa linapungua. Upwa nao umeharibika. Na […]
Na:
Soma zaidi...
IMG 7821
Hadithi Zote

Wataalamu Waomba Takwimu Zaidi na Kuhimiza Ushirikiano ili Kulinda Ubora Wa Maji Afrika

Michelle Galloway Usambazaji wa raslimali ya maji usio wa kisawa na  athari ya madiliko ya tabia nchi yaendelea kuzorotesha uwepo wa maji masafi katika nchi nyingi Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Lydia Olaka, msomi katika taasisi ya Stellenbosch Institute for Advanced Study. Olaka ambaye yuko kwa Idara ya Jiolojia, Chuo Kikuu cha Nairobi, anasomea […]
Na:
Soma zaidi...