Stories / Author

Infonile Editors

Wito wa Kuomba Ruzuku: Namna Covid-19 ilivyoathiri usimamizi wa kilimo cha umwagiliaji katika nchi za Bonde la Mto Nile

Kilimo ni tegemeo kubwa la uchumi wa bara  la Afrika na kati ya asilimia 20 hadi 35  ya Pato  jumla la Mataifa mengi ya Afrika hutegemea kilimo. Janga la Korona ni kadhia inayoendelea kuleta athari kubwa kwenye uchumi wa nchi nyingi barani Afrika. Hatua zinazochukuliwa kwenye baadhi ya nchi katika kujaribu kuzuia kuenea kwa janga […]
Na:
Soma zaidi...
Chimpanzee Natural High Safaris
Hadithi Zote Uncategorized @sw

Sokwe maarufu Tanzania wako hatarini kutoweka kabisa kwenye uso wa dunia

COVID 19 inasababisha hofu ya vifo vya wanyama na kupungua kwa watalii Prosper Kwigize- Kigoma, Tanzania Wakati biashara ya maliasili na mazingira inazidi kushamiri duniani, mazingira hatari na ulinzi mdogo wa wanyamapori zinatajwa kuwa ni vitisho vikubwa kwa uchumi wa Eneo la Maziwa Makuu hasa Tanzania ambako utalii ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato […]
Na:
Soma zaidi...